JINSI YA KUONGEZA INSTAGRAM FOLLOWERS
JINSI YA KUONGEZA INSTAGRAM FOLLOWERS
ingia kwenye Account yako bonyeza SHARE PROFILE
Baaada ya hapo COPY LINK
Kwanini tunaongeza followers
Akaunti yenye followers wengi inaonekana “inaaminika” zaidi.
Watu wapya wanapoingia kwenye ukurasa wako wa Instagram wana uwezekano mkubwa wa kufollow kama tayari una audience kubwa.
Followers wengi = exposure kubwa.
Hii husaidia:
Biashara kuonekana na watu wengi
Kuongeza mauzo
Kujenga jina la brand haraka
Akaunti yenye followers wengi:
Inaweza kupata deals za matangazo
Inavutia brands kufanya collaboration
Kwa accounts mpya, kupata followers ni ngumu.
Huduma hii inasaidia:
Kuanza haraka
Kuepuka kukaa na followers wachache kwa muda mrefu
Instagram algorithm mara nyingi huonyesha content zaidi kwa accounts zinazoonekana “active na kubwa”.
Followers wengi wanaweza kusaidia post zako kufikia watu wengi zaidi.