Tunakutengenezea Landing Page Inayouza Bidhaa Zako za Afya Kila Siku..
Tunakutengenezea Landing Page Inayouza Bidhaa Zako za Afya Kila Siku..
📌 Landing Page ni Nini?
ni ukurasa maalum wa mtandao unaotengenezwa kwa lengo moja tu — kumfanya mgeni achukue hatua.
kwa maana nyingine Landing Page ni kama ukurasa huu unaosoma wewe sasahivi
Hatua hiyo inaweza kuwa:
✔ Kununua bidhaa
✔ Kutuma ujumbe WhatsApp
✔ Kujaza fomu
✔ Kuacha namba ya simu
Tofauti na website ya kawaida yenye kurasa nyingi, Landing Page huwa na lengo moja tu — kuuza.
Kwa kifupi: Landing Page hubadilisha mgeni kuwa mteja.
🤔 Kwa Nini Usimpeleke Mteja WhatsApp Moja kwa Moja?
Wafanyabiashara wengi wa bidhaa za afya hufanya kosa hili:
❌ Wanapeleka mteja WhatsApp moja kwa moja
❌ Hakuna maelezo ya kutosha
❌ Hakuna ushahidi wa matokeo
❌ Hakuna kujenga uaminifu
Matokeo yake?
Mteja anauliza maswali mengi au anaishia kupotea bila kununua.
✅ Suluhisho ni Kuwa na Landing Page ya Kitaalamu kwasababu
✔ Inatoa maelezo kamili ya bidhaa
✔ Inaonyesha ushuhuda wa wateja
✔ Inaondoa mashaka
✔ Inajenga uaminifu
✔ Inamfanya mteja afanye maamuzi haraka
Na hapo ndipo Mdy Ads tunaingia.
🎯 Tunachokufanyia Tunakuundia Landing Page Maalumu kwa wauzaji wa:
✔ Bidhaa za afya & Tiba asili.
✔ Virutubisho (supplements)
✔ Bidhaa za afya za wanawake
✔ Huduma ya fumigation
✔ Bidhaa za Urembo.
✔ Bidhaa za kuongeza nguvu
Mdy_Ads Tutakutengenezea ukurasa kama huu Utakaonesha na kuelezea bidhaa au huduma yako unayotoa na tutaielezea vizuri na kujibu maswali yote ya mteja wako na kumfanya aelewe juu ya bidhaa au huduma yako unayotoa na afanye maamuzi ya kununua kwako
Landing Page yako itakuwa:
✅ Ya kitaalamu
✅ Rahisi kusoma
✅ Inayovutia
✅ Inayobadilisha wasomaji kuwa wateja
💰 Vifurushi vya Huduma Nayotoa Kwa Mwezi wa kwanza
Hapa tunavifulushi viwili ambavyo tumeanza navyo
(1) Landing Page Tuu – Tsh.150,000/=
utapata ukurasa mmoja kama huu unaosoma hapa unaoelezea bidhaa au huduma yako unayotoa
utapata JinaLaBiasharaYako.com hii itakusaidia kujenga uaminifu kwa wateja wako (itadumu mwaka mzima)
(2) Landing Page + Usimamizi wa account zako– Tsh.220,000/=
Utapata ukurasa mmoja pia tutasimamia account zako za instagram na facebook
Utapata JinaLaBiasharaYako.com hii itakusaidia kujenga uaminifu kwa wateja wako (itadumu mwaka mzima)
Mwezi unaofata Gharama itakua Tsh.100,000/= kwasababu kazi itakua ni kusimamia account tu (fb & instagram)
⭐ Kwa Nini Uchague Mdy Ads?
✔ Tunaelewa soko la bidhaa za afya
✔ Tunajua saikolojia ya mteja wa mtandaoni
✔ Tunasaidia kuongeza mauzo bila kuongeza gharama ya matangazo
✔ Tunakusaidia kupunguza kupoteza pesa kwenye Ads
🎁 Bonus Maalum Ukifanya kazi nasi unapata:
ukaguzi wa account zako za facebook & instagram
Ushauri wa Ads Strategy
Muundo wa ujumbe wa WhatsApp
Ushauri wa kuongeza conversion rate
Usipoteze Pesa Kwenye Matangazo Yasiyoleta Mauzo
Matangazo yanaweza kuleta watu wengi Lakini Landing Page ndiyo inawaleta kwenye uamuzi wa kununua.
🟢 Wasiliana na Mdy Ads sasa tukutengenezee Landing Page yako uuze kiPROFESSIONAL
Bonyeza hapa chini Tuanze kazi Sasa
Hii ni fursa ya kuifanya Biashara yako ikue kitaalamu
Kuhusu Mimi
Mimi ni Mtaalamu wa matangazo ya mitandao ya kijamii ninayesaidia biashara kupata wateja wengi na kujenga jina la biashara
NA HIZI NI BAADHI YA KAZI NILIZOFANYA
''asante sana Mdy Ads kwa kunitengenezea ukurasa huu umenisaidia kuelezea bidhaa yangu na umekua unanipunguzia baadhi ya maswali ambayo ningeulizwa na wateja lkn ukurasa huu umelimaliza ilo'' Dr Mercy
''asante sana ukurasa huu umenisaidia kuongeza mauzo ya huduma yangu ninayotoa'' Dr Mary